Wednesday, January 13, 2010

Mwanjelwa MbeyaEneo la soko la zamani ambapo biashara zinaendelea kama kawaida.Eneo la soko la zamani (lililoungua mwaka 2006) kama uonavyo limekuwa dampo.

2 comments:

  1. hapo 'docks' vitu bei poa kama kariakoo vile. ukiingia mfikemo ndio bei poa 'utazani' uko china kabisaa. watu wanatoka iringa, mafinga kuja 'kujumua' (kiswahjili cha mbeya kumaanisha kununua kwa jumla)dukani hapo. big up mfikemo.

    mzee siku ukiwa maeneo ya mafiati tutafutane.

    ReplyDelete
  2. Ahsante kaka. Sasa nimerudi Dar. Nitakuwa Mbeya wakati wa pasaka. Ntakutafuta kaka. Nashukuru sana.

    ReplyDelete